Share
PUBLISHED ON March 9th, 2020

Shirika la kukuza biashara Afrika Mashariki latafuta kuendeleza ushoroba wa uchukuzi bila kusababisha uchafuzi

Shirika la kutangaza chapa za biashara la Afrika Mashariki Trademark East Africa limesema, litakusanya dola milioni 160 za kimarekani kuhimiza maendeleo ya ushoroba wa uchukuzi na ugavi bila kuchafua mazingira katika kanda ya Afrika Mshariki. Mkurugenzi wa utafiti na mafunzo wa shirika hilo Bw. Anthony Mveyange amesema, shirika hilo litatafuta mitaji kutoka mashirika ya maendeleo ya kimataifa, ili kuhakikisha sekta ya uchukuzi katika kanda hiyo inaweza kupunguza utoaji wa gesi za kaboni.

Disclaimer: The views and opinions expressed in this article are those of the authors and do not necessarily reflect the official policy or position of TradeMark Africa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *