
Our Projects are
Transforming African Trade
Quick Contacts
2nd Floor, Fidelity Insurance Centre Waiyaki Way, Westlands
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL),kwa mara nyingine imeshiriki katika maonyesho ya wanafunzi wa vyuo vikuu yaliyoandaliwa na chama cha AISEC Tanzania na kufanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mlimani.
Kupitia maonyesho hayo wanafunzi huweza kujua jinsi taasisi mbalimbali nchini zinavyoendesha shughuli zake lengo kubwa ikiwa ni kuwajengea uwezo kwa kujifunza,kujitambua uwezo wao ni jinsi gani wanaweza kushiriki kutoa mchango wa kuendeleza taifa pindi wamalizapo masomo yao.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Philip Redman,aliongoza jopo la wafanyakazi waandamizi wa kampuni katika maonyesho hayo ambapo walipata fursa kuzungumza na wanafunzi kuhusiana na kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo ajira,kuendeleza vipaji vyao pia wanafunzi walipata fursa kuelewa jinsi kampuni ya TBL chini ya kampuni ya kimataifa ya ABInBEV inavyoendesha shuguli zake sambamba na kutekeleza Malengo Endelevu ya Maendeleo ya MileniaKampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL),kwa mara nyingine imeshiriki katika maonyesho ya wanafunzi wa vyuo vikuu yaliyoandaliwa na chama cha AISEC Tanzania na kufanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mlimani.
Kupitia maonyesho hayo wanafunzi huweza kujua jinsi taasisi mbalimbali nchini zinavyoendesha shughuli zake lengo kubwa ikiwa ni kuwajengea uwezo kwa kujifunza,kujitambua uwezo wao ni jinsi gani wanaweza kushiriki kutoa mchango wa kuendeleza taifa pindi wamalizapo masomo yao.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Philip Redman,aliongoza jopo la wafanyakazi waandamizi wa kampuni katika maonyesho hayo ambapo walipata fursa kuzungumza na wanafunzi kuhusiana na kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiwemo ajira,kuendeleza vipaji vyao pia wanafunzi walipata fursa kuelewa jinsi kampuni ya TBL chini ya kampuni ya kimataifa ya ABInBEV inavyoendesha shuguli zake sambamba na kutekeleza Malengo Endelevu ya Maendeleo ya Milenia
Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Philip Redman (wa pili kushoto) akichangia mada wakati wa kongamano la AISECÂ Â lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (Kushoto) ni Mtaalam wa Ajira wa ILO, Jealous Chirove,wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Trade Mark East Africa (TMA) John Ulanga, na (kulia) ni Mwanzilishi wa AISEC Tanzania, na Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Lettice Rutashobya.
Source:Â Full Shangwe Blog
Disclaimer: The views and opinions expressed in this article are those of the authors and do not necessarily reflect the official policy or position of TradeMark Africa.